Jeremiah 5:1

Hakuna Hata Mmoja Aliye Mkamilifu

1 a“Pandeni na kushuka katika mitaa ya Yerusalemu,
tazameni pande zote na mtafakari,
tafuteni katika viwanja vyake.
Kama mtaweza kumpata hata mtu mmoja tu
atendaye kwa uaminifu na kutafuta kweli,
nitausamehe mji huu.
Copyright information for SwhNEN